Ukitaka kujua rafiki anae kujali mtumie SMS hii
usisahau kushare kwenye maglup yako pia waweza kutazama video zetu YouTube andika CC3 utatupata
Haraka sana
Nakuomba uniazime Tsh 25,000/= nitakurudishia kabla ya jumamox ninashida nazo muhimu sana. Nisaidie tafadhali nakutegemea Wewe Tu Ndio Wakuniokoa najua unazo. "Sio maneno yangu ni mlevi mmoja alisikika akiiomba mashine ya ATM.Maeneo ya mjini. Duh! Ulivyoshtuka ulidhani nakukopa Hela,Hapana, ulishaanza kukunja uso na kuandaa majibu ya kuninyima. Unacheka nini kwani, uongo? 2ma kw marafkzako uwatie PRESHA
BY ...,,,
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisho Lililoangaziwa
MTAZAMO
Tafiti zinaonyesha kuwa watu ambao shuleni walikuwa wanapata ziro wakiwa mtaani huwa wana uwezo mkubwa sana wa kuzijua njia za kutafuta pesa...
-
Vijana wengi huuliza kwanini katika kuoa mpaka wafunge ndoa ? kwa nini nisichukue 2 mke au mme ilimuladi wazazi wameniruhusu ? zifuataz...
-
mambo mazuli hayataki halaka sikiliza ngoma kali toka kwa b2k mnyama msanii kutoka njombe town ...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
share