Jumatatu, 8 Julai 2019

MTAZAMO

Tafiti zinaonyesha kuwa watu ambao shuleni walikuwa wanapata ziro wakiwa mtaani huwa wana uwezo mkubwa sana wa kuzijua njia za kutafuta pesa ila wanakuwa hawana uwezo wa wa kujiendeleza na wengi wao wanabaki na aidia zao kwa kukosa msaada

Na wale ambao walikuwa wana kuwa wa kwanza katika mitihani walio wengi huwa akili zao zina choka mapema
Kwa kufikiria sana watu wengi sana duniani  walio soma hutumia nguvu nyingi sana sana kufikiria waka kazi nyingine ni zakutumia nguvu sio akili

Watu wengi sana walio soma tafiti zinaonyesha kwamba wanasaidwa na wale ambao tayari walikuwa katika elimu ya chini Ninavyo sema hivyo nina maana kubwa sana mimi binafsi nilijifunza mengi sana kipindi nikiwa shule nilizoea kuletewa kila kitu na wazazi nilipo maliza shule nililudi nyumbani nilipo fika nyumbani utafuji wa money ulikuwa mgumu sana lakini wenzangu walikuwa wakisema ni kazi lahisi sana nikisumbuli matokeo yakatoka nikawa nimefeli itanilazimu niweze kujitafutia riziki mtaan bas ilikuwa kaz ngumu sana nilipewa kampani nyingi sana na watu ambao hawakubatika kwenda shule
Hivyo mpaka sasa mambo mengi yanasonga

Leo tunaishi hapa 
Tarehe 10/7/2019 
Tutaendelea kama una aidia za kazi yeyote wa unaweza kuwasiliana nasi 

Email 👇

ldwnj149@gmail.cmo

Whatsap =0757215974

Kama unataka kutangaza biashara yako  ☎ 0757215974
Tunatoa huduma masaa 24

 Bay cc3 0757215974

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

share

Chapisho Lililoangaziwa

MTAZAMO

Tafiti zinaonyesha kuwa watu ambao shuleni walikuwa wanapata ziro wakiwa mtaani huwa wana uwezo mkubwa sana wa kuzijua njia za kutafuta pesa...