Ijumaa, 22 Machi 2019

SIFA YA NYWELE

Nywele ni taji ambalo binadamu amepewa na  MUNGU
Nywele hufanya kichwa kionekane kizuri. Hebu fikiria picha ya 
Msichana ambaye ana kipara. Je?  Atavutia kwa wengi? 
Maumbile ya mwanamke yana utukufu anapokuwa na nywele ndefu Biblia inasema ; "lakini mwanamke akiwa na nywele ndefu ni fahari kwake. Kwasababu amepewa ziwe nywele ndefu ili ziwe badala ya mavazi 
      (1kor 11:15)
Kama mungu amekupa nywele hizo ili zikuongezee fahari unapaswa uzitunze katika hali ya usafi. Hapa nazungumzia kutunza nywele siyo kupamba lazima ujue tofauti ya kupamba 
Nywele ni kule kuweka madoido yasiyo takiwa kama vile rangi tofauti kichwani 
Au kuweka vyombo frani kinacho takiwa ni kuzitunza 

Wasichana na wanawake wengine wameacha kutunza nywele wakaingia kujipamba kupamba nywele kwaweza kuwa na madhara au hasara zake hasara hizo ni zakiuchumi na kiafya wasichana wengi humaliza pesa na kupoteza mda mwingi katika kupamba vichwa wanadhani kufanya hivyo kutaongeza kukubalika maskini hawajui wanajiweka pabaya mno 
Wavulana wazuri wanawaogopa wasichana hao kwa sababu wamejiweka katika daraja la watu wa gharama mno vijana wa kiume huwa wanawakwepa maana wanasema 
Nitawezaje kumudu gharama za kumutunza. Itaendelea Wiki ijayo wasiliana nasi kupitia Hapa Whatsapp 0757215974
                         Usisahau kushare kwenye maglup yako
 https://cc3blogaddress.blogspot.com/?m=1

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

share

Chapisho Lililoangaziwa

MTAZAMO

Tafiti zinaonyesha kuwa watu ambao shuleni walikuwa wanapata ziro wakiwa mtaani huwa wana uwezo mkubwa sana wa kuzijua njia za kutafuta pesa...