Jumamosi, 23 Machi 2019

FAIDA NA UMUHIMU WA KUFUNGA NDOA

Vijana wengi huuliza kwanini katika kuoa mpaka wafunge ndoa ? kwa nini nisichukue 2 mke au mme ilimuladi wazazi wameniruhusu ?

zifuatazo ni baadhi ya faida au umuhimu wa kufunga ndoa 

kujipatia heshima haki na misingi imara 
vijana wanapo funga ndoa kanisani wanajipatia heshima pamoja na wazazi wao wazazi na viongozi wa kanisa huwaombea baraka ili maisha yao yawe mazuri pia nasaha mbalimbali hutolewa na wachungaji na wazazi wao kufunga ndoa pia hukupatia haki rasmi kisheria na kimaadil ya dini 

CHAT NAS WHATSSAPP =0757215974
YOUTUBE= CC3
INSTARGRAM =BARAKAMANYOTA
FB=BARAKA MANYOTA

UAMINIFU

_*• Jamaa mmoja alienda kukata miti porini.. wakati anakata ghafla Panga lake likadondoka mtoni...akaanza kulalamika sana...*_

_*• Malaika akatokea na kumuuliza kwanini analia..*_

_*• Jamaa akamjibu nimedondosha panga langu mtoni na ndiyo natumia kuendesha maisha yangu..*_

_*• Malaika akazama mtoni akatoa panga la Dhahabu akamuuliza ndiyo hili??*_

_*• Akajibu Hapana...*_

_*• Malaika akazama tena akatoa panga la shaba, akamuuliza ndiyo hili??*_

_*• Jamaa akajibu HAPANA.*_

_*• Malaika akazama tena akaibuka na panga la bati, akamuuliza ndiyo hili..*_

_*• Jamaa akajibu NDIYO..*_

_*• Malaika akapenda uaminifu wake na kumpa mapanga yote matatu aende nayo..*_

_*• JAMAA akafurahi sana..*_

_*• Siku nyingine Jamaa alikuwa anatembea na mke wake njiani, ghafla Mke wake akadondoka mtoni. jamaa akaanza kulia.....*_

_*• Malaika akatokea tena na kumuuliza mbona unalia.*_

_*• Jamaa akamjibu, mke wangu kadondoka mtoni..*_

_*• Malaika akazama mtoni akaibuka na MASOGANGE.. Akamuuliza huyu ndiyo huyu.*_

_*• Jamaa akajibu, NDIYO..*_

_*• Malaika akakasirika na kumwambia Kwanini umenidanganya..*_

_*• Jamaa akamjibu..nimesema ndiyo sababu najua ningesema HAPANA Ungezama ungemtoa AUNTI EZEKIEL ... ningesema HAPANA ungezama na kumtoa mke wangu alafu ningesema NDIYO ungenipa wote Watatu niondoke nao...... Sasa mimi ni Masikini sina uwezo wa kuhudumia wote hao.... ndiyo maana nikasema ndiyo Kwa Masogange.*_

*• SOMO LA KUJIFUNZA..*
_*• Wanaume huwa hatusemi uongo bila sababu....

YouTube. CC3 
Whatsapp. 0757215974
Instagram. Barakamanyota 
Fb. Baraka manyota 

Ijumaa, 22 Machi 2019

JOTO

*Joto hili unaweza sikia harufu ya mayai kumbe mayai ya uzazi yanaungua kisa joto🤣🤣🤣🤣🤣😂*

Kwenye kutafuta usikubali mtu akukatishe tamaa ukikata tamaa ata kucheka sana nawakati alikukatisha tamaa mwenyewe

Chati nasi Whatsapp.0757215974
Instagram. Barakamanyota
Fb. Baraka manyota
YouTube. CC3 Tv

SIFA YA NYWELE

Nywele ni taji ambalo binadamu amepewa na  MUNGU
Nywele hufanya kichwa kionekane kizuri. Hebu fikiria picha ya 
Msichana ambaye ana kipara. Je?  Atavutia kwa wengi? 
Maumbile ya mwanamke yana utukufu anapokuwa na nywele ndefu Biblia inasema ; "lakini mwanamke akiwa na nywele ndefu ni fahari kwake. Kwasababu amepewa ziwe nywele ndefu ili ziwe badala ya mavazi 
      (1kor 11:15)
Kama mungu amekupa nywele hizo ili zikuongezee fahari unapaswa uzitunze katika hali ya usafi. Hapa nazungumzia kutunza nywele siyo kupamba lazima ujue tofauti ya kupamba 
Nywele ni kule kuweka madoido yasiyo takiwa kama vile rangi tofauti kichwani 
Au kuweka vyombo frani kinacho takiwa ni kuzitunza 

Wasichana na wanawake wengine wameacha kutunza nywele wakaingia kujipamba kupamba nywele kwaweza kuwa na madhara au hasara zake hasara hizo ni zakiuchumi na kiafya wasichana wengi humaliza pesa na kupoteza mda mwingi katika kupamba vichwa wanadhani kufanya hivyo kutaongeza kukubalika maskini hawajui wanajiweka pabaya mno 
Wavulana wazuri wanawaogopa wasichana hao kwa sababu wamejiweka katika daraja la watu wa gharama mno vijana wa kiume huwa wanawakwepa maana wanasema 
Nitawezaje kumudu gharama za kumutunza. Itaendelea Wiki ijayo wasiliana nasi kupitia Hapa Whatsapp 0757215974
                         Usisahau kushare kwenye maglup yako
 https://cc3blogaddress.blogspot.com/?m=1

Alhamisi, 21 Machi 2019

MWAMBAFIVE








                                           


                                             DONLOAD

       https://www.mwambafive.com/2019/03/video-queen-darleen-muhogo.html
Ukitaka kujua rafiki anae kujali mtumie SMS hii
   usisahau kushare kwenye maglup yako pia waweza kutazama video zetu YouTube  andika CC3 utatupata 
Haraka sana 

Nakuomba uniazime Tsh 25,000/= nitakurudishia kabla ya jumamox ninashida nazo muhimu sana. Nisaidie tafadhali nakutegemea Wewe Tu Ndio Wakuniokoa najua unazo. "Sio maneno yangu ni mlevi mmoja alisikika akiiomba mashine ya ATM.Maeneo ya mjini. Duh! Ulivyoshtuka ulidhani nakukopa Hela,Hapana, ulishaanza kukunja uso na kuandaa majibu ya kuninyima. Unacheka nini kwani, uongo? 2ma kw marafkzako uwatie PRESHA
BY ...,,,

Jumatano, 20 Machi 2019

SMARTPHONE

Jipatie simu janja ya TECNO S2 au freetel SAKULA ya 4G kwa bei sawa na bure upate Intaneti bure mwaka mzima tembelea duka la tigo lililo karibu nawe 






Chapisho Lililoangaziwa

MTAZAMO

Tafiti zinaonyesha kuwa watu ambao shuleni walikuwa wanapata ziro wakiwa mtaani huwa wana uwezo mkubwa sana wa kuzijua njia za kutafuta pesa...