siku zote ng'ombe wa nyuma huchapwa kwa sababu yupo jirana na mchungaji lakini anae chelewesha safali ni ng'ombe wa mbele
usikuba kuwa wa mwisho
kwenye kutafuta na usikate tamaa
unapo kata tamaa kuna mwenzio analia kwa kuwa alikuona wewe na mfano mkubwa kwake
usikuba kuwa wa mwisho
kwenye kutafuta na usikate tamaa
unapo kata tamaa kuna mwenzio analia kwa kuwa alikuona wewe na mfano mkubwa kwake
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
share